Header

MR. NICE ASEMA HAMJUI WALA KUMTAMBUA YOUNG DEE!

Mr. Nice

Mr. Nice  kwasasa amekua akizibugia nondo kuu za headlines ndani na nje ya Tanzania, ni baada ya kumtishia kumchukulia hatua kali msanii wa Bongo Flava mwenzake Young Dee. Hii ni baada ya Young Dee kutumia miondoko na mashairi ya wimbo King’asti wake Mr. Nice, katika ngoma yake inayoitwa Kiben. Kupitia radio Swahiba FM 102.9 ya Zanzibari, kwenye kipindi cha burudani cha Power Beat Mr. Nice amefunguka kuwa Young Dee hamufahamu wala kumtambua Young Dee. Na kwahivyo anapanga kumuchukulia hatua kali kwasababu ya kuiba wimbo wake wa king’asti. Kwamajibu yote ambayo Mr. Nice ametoa pamoja na tuhuma didhi ya Young Dee sikiliza interview nzima hapa ikiongozwa na Mtangazaji Spesho Mtanzania na wenzake kwenye kipindi cha burudani cha Power Beat hapa chini kwenye YouTube video.

Comments

comments

You may also like ...