Header

Rapper Stamina amchumbia mpenzi wake wa miaka mingi

Rapper Stamina amechoka kuwa bachelor. Baada ya kuwa na mwaka wenye mafanikio kimuziki, rapper huyo wa Morogoro amemchumbia mpenzi wake aliyedumu naye kwa miaka kibao.

Stamina ameandika kwenye Instagram:

Safari yetu ilianzia mbali sana mpaka hapa tulipofikia,,na bado tunaenda mbali mbali zaidi ya tulikotoka,,umenivumilia mengi sana,,vikwazo na matatizo hapa kati tumepitia mengi sana ila bado tukasimama pamoja,,MUNGU ABARIKI KILA HATUA YETU KATIKA MAISHA YETU,,wanga hawakosekanagi katika hili swala ila wamechelewa maana tuna protein za kutoshaaaaaa😂😁😅,, THANKS @roma_zimbabwe umeni inspire sana katika hili wewe na @mrs_roma2030 ,,shukrani kwa timu nzima ya #ROSTAM @djj_one @mokobiashara na BOSS WETU @musababaz kwa kua karibu katika kila jambo,,SISTER @reyjons ahsante sana suport yako naithamini na kuiheshimu,,AHSANTENI MASHABIKI ZANGU NA WADAU WOTE AMBAO MMEKUA MKISUPORT KAZI ZANGU…BILA NYINYI NISIFIKA HATUA HII PIA YA KUWAZA NDOA,,,mtu mbaya @ki2pe umetisha na haya mavazi ahsante sana

#AHSANTENI WOTE

Comments

comments

You may also like ...