Header

‘Huwawezi’ ya Cosmas, Abdu Kiba awaimba Hamisa Mobeto, Jokate, Lulu na Wema Sepetu

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva chini ya Kaz Kaz Music Center (K.M.C) Cosmas, ameachia kazi aliyomshirikisha Abdu Kiba kwa jina ‘Huwawezi’ chini ya mkono wa prodyuza Sulesh.

Kazi hiyo iliyotoka sambamba na video iliyoongozwa na Inno Mafuru, Abdu Kiba anasikika akiwataja kwa majina mastaa wa kike kutoka katika tasina mbali mbali za burudani ambao ni pamoja na mjairiamali na mfanya baishar Jokate, Muigizaji Lulu, mwanamitindo Hamisa Mobeto na Staa wa filamu Tanzania Wema Sepetu.

Abdul Kiba katika kuumaliza mwaka wa 2017, ameachia kolabo yake na ndugu yake mwimbaji na Staa wa Bongo Fleva Ali Kiba inayokwenda kwa jina ‘Single’ kabla ya kusikika kwenye hii mpya ya Cosmas.

Comments

comments

You may also like ...