Header

Jason Derulo atoa shavu la kumshirikisha Rayvanny

Msanii wa muziki kutoka Tanzania, Rayvanny amedaka tena kwa mara ya pili dili la kushiriki katika kolabo nyingine na Staa wa Marekani, Jason Joel Desrouleaux ‘Jason Derulo’ baada ya ile kazi ambayo inadaiwa Rayvanny alimshirikisha Jason, wimbo iliorekodiwa nchini Marekani katika maadhi ya kuimba.

Kupitia ukurasa wa Instagram, Rayvanny amethibitisha kuwa Jason amemshirikisha kwenye moja ya nyimbo zake kitu ambacho kinatazamwa kwa ukubwa zaidi kwa sababu za Rayvanny kuwa msanii wa kwanza mchanga kutoka ukanda wa Afrika Mashariki kushirikishwa na Staa wa Marekani.

Comments

comments

You may also like ...