Header

Lorenzo aingia studio kumuandikia wimbo Marehemu mama yake mzazi

Msanii wa muziki na mtayarishaji wa muziki wa kizazi kipya kutoka Tanzania chini ya Sinza Music, Brian Lorenzo ‘Lorenzo’ amedondosha video ya kazi yake mpya yenye michano ya maandishi yalitobeba ujumbe wa simulizi ya kumkumbuka marehemu mama yake mzazi na ndogo wake wa kiume.

Kwa ujio wa hii mpya ambayo Video imeongozwa na ‘Luiarts’, Lorenzo kwa mwaka wa 2017 amefanikisha ngoma mbili rasmi kwa maana ya hii mpya na kolabo ya  wimbo ‘Hello’ akimshirikisha Matayarishaji, mchanaji na mwimbaji mwenzake ‘Mesen Selekta’.

Hata hivyo Lorenzo naweza kuwa kati ya miongoni mwa wasanii wachache wenye uwezo wa kushiriki katika kona nyingi za kimuziki ambazo zinatajwa kuwa ni misingi ya kuweza kumkamilisha msanii.

Comments

comments

You may also like ...