Header

‘Kivuruge’ ya Nandy yamhusu Rabbit Kaka Sungura na Prodyuza Sappy

Video ya wimbo wa ‘Kivuruge’ wa msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka Tanzania, Nandy iliyoongozwa na Director imegundulika kuwepo kionjo cha kufananishwa na kilichokwisha fanyika kwenye ngoma ya rapa na muandishi ya mashairi wa nchini Kenya, Rabbit Kaka Sungura.

Kupitia video ya ngoma hiyo ineyoanza kwa ala za sauti hizo zimesikika kwa kufanana na sauti na zilizokwisha tumika kwenye wimbo wa Rabbit Kaka Sungura unaokwenda kwa jina Swahili Shakespeare iliyotoka mwaka 2012 uliotayarishwa na Prodyuza Sappy.

Ngoma ya Rabbit – Swahili Shakespeare.

Ngoma ya Nany – Kivuruge iliyotayarishwa na na kuongozwa na Director Msafiri wa Kwetu Studio.

Hata hivyo ngoma hii ‘Kivuruge’ ya Nandy ambayo katika mfumo rasmi wa audio iliyotayarishwa na Kenny Ringtone, haisikiki kuwa na kionjo hicho kinachosikika kufanana na hicho cha wimbo wa Swahili ‘Shakespeare’.

Comments

comments

You may also like ...