Header

VIDEO: MAREKANI YA ONYESHA JINSI JESHI LAKE HUFANYA KAZI VITANI!

Katika ulimwengu wa vita, Marekani inaheshimika sana kwa jinsi ilivyo na uwezo mkubwa sana katika tasnia hiyo ya ulinzi na maswala ya vita. Hivyo kupitia idara ya jeshi, Marekani huchukua wakati wake kuonyesha uwezo wa wanajeshi wake kwa uma wanavyoweza kutumia mitambo, magari ya kivita na silaha tofauti kwenye vita. Hebu tazama hii video hapa chini jinsi kazi hiyo huweza kufanywa kwa ustarabu.

Comments

comments

You may also like ...