Header

‘Deja Vu’ ya Burna Boy mikononi mwa Chopstix na Clarence Peters

Mwimbaji wa reggae-dancehall na mtunzi kutoka nchini Nigeria, Damini Ogulu a.k.a Burna Boy, ameachia rasmi video ya ngoma yake mpya yenye maudhui ya mapenzi ‘Deja Vu’.

Ngoma hii inakuja baada ya nyimbo mbili za kuvutia ‘Sekkle Down’ na ‘Koni Baje’ ikiwa hii mpya imetoka chini ya utayarishaji wa Chopstix na Video hiyo ikiongozwa na Director ‘Clarence Peters’.

Comments

comments

You may also like ...