Header

Director Hanscana aupeleka Unyamwezi wa Joh Makini visiwani Zanzibar

Muongozaji wa muziki kutoka nchini Tanzania, Hanscana ameusafirisha ubabe wa mikato yenye uchanaji wa haina yake sambamba na uvaaji wa kisasa wa Rapa Joh Makini visiwani Zanzibar ili kukamilisha video ya wimbo huo uliandaliwa na mtayarishaji Luffa na Chizan Brain katika Studio za Switch Records.

Wimbo huo uliondaliwa na kupewa jina ‘Mipaka’ ambao Joh anazungumzia ujuzi na hali ya kimahusiano bila kumuangusha mpenzi wake katika kutimiza majukumu, Director Hanscana aliziwasha kamera na kuyachukua matukio yenye maudhui ya wimbo huo katika hoteli ya Z Hotel iliyoko ufukwe wa Nungwi, Zanzibar.

Director Hascana

Itazame Video ya wimbo huo.

Comments

comments

You may also like ...