Header

Davido ampandisha Wizkid kwenye 30 Billion Concert, amuita ‘new best friend’

Davido na Wizkid wamezidi kuimarisha urafiki wao mpya. Baada ya Wizkid kufanya surprise kwa kumpandisha Davido kwenye show yake ya mkesha wa Christmas na kutumbuiza pamoja, hitmaker wa IF naye amefanya hivyo jana kwenye tamasha lake la 30 Billion lililofanyika Eko Hotels and Suits, Lagos, Nigeria.

Wizkid alipanda jukwaani na kuungana na hasimu wake huyo wa zamani na kutumbuiza kwa furaha na baadaye kukumbatiana.

Kwenye show hiyo, Davido alimwelezea Wizkid kuwa ni ‘new best friend.’

Comments

comments

You may also like ...