Header

Rihanna aomboleza kifo cha binamu yake aliyeuawa kwa risasi

Rihanna anaomboleza kifo cha binamu yake, Tavon Kaiseen Alleyne (21) aliyeuawa kwa kupigwa risasi Jumanne, Dec. 26 huko Barbados.

Daily Mail imedai kuwa Alleyne alipigwa risasi kadhaa wakati akitembea huko Saint Michael. Muda mfupi baada ya kifo chake, Rihanna alipost picha tatu Instagram akiwa naye na kuandika:

“RIP cousin… can’t believe it was just last night that I held you in my arms! never thought that would be the last time I felt the warmth in your body!!! Love you always man! 😢🙏🏿❤. #endgunviolence.”

Mwezi February, Alleyne aliandika ujumbe kumpongeza Rihanna kwenye siku yake ya kuzaliwa akisema: Every day we are happy to have you in our lives. Happy Birthday cousin, we really love you. Your presence in my life is a source of joy and happiness. To my favorite cousin, may all your dreams and wishes come true. #LoveYouLoads #wishyoumanymoretocome.”

Comments

comments

You may also like ...