Header

Vanessa Mdee kesho (Ijumaa) kufanya listening party ya Money Mondays

Vanessa Mdee Ijumaa hii anafanya listening party ya album yake, Money Mondays. Hafla hiyo itafanyika kwenye hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na mastaa mbalimbali akiwemo Mohombi wa Sweden aliyeshirikishwa kwenye album hiyo ya kwanza ya Vee Money.

Album hiyo sasa inapatikana kwa pre-order kupitia website na app ya Boomplayer Music.

Wasanii wengine walioshirikishwa kwenye album hiyo ni pamoja na Mr P, Tahpha, G-Nako, Radio & Weasel, Reekado Banks, Konshens na wengine.

Comments

comments

You may also like ...