Header

Zari adai harusi yake na Diamond ni mwakani, apania igharimu dola milioni 2

Harusi ya Diamond na Zari The Bosslady huenda ikafanyika mwakani, kwa mujibu wa Mama Tee. Na tena inaweza kuwa moja ya harusi za kifahari zaidi kuwahi kufanyika Afrika.

Kupitia Instagram, shabiki mmoja alicomment na kumwambia anasubiri nini kufunga ndoa na Mondi, naye akajibu, “2018 baby.. no rush, its gonna be planned and big! $2M dollar typa shit.”

Comments

comments

You may also like ...