December 2017

December 4, 2017
Ben Pol aja na mtindo mpya wa nywele, utaupenda?
Ben Pol anaufunga mwaka 2017 kitofauti. Mkali huyo wa Moyo Mashine, ameweka bleach ya kijani kichwani. Haijafamika kama ni mtindo mpya atakaokuwa nayo siku zote kuanzia sasa au ulikuwa ni kwaajili ya video. Unauonaje mtindo huu lakini?
December 04, 2017 0
PICHA: ASLAY NA DOGO RICHY WANGUSHA BURUDANI LA MWAKA MOMBOSA!
Aslay amethibitishia wakenya kuwa kweli anauwezo wa kukidhi mahitaji yao ikizingatiwa na maswala ya burudani. Aslay ambaye weekend hii, amekuwa busy kwa ajili ya show mbili tofauti za muziki moja mjini Mombasa na yapili ilifanyika mjini Malindi katika majimbo ... Read More »
December 04, 2017 0
DIAMOND PLATNUMZ NA SALLAM NI DR. DRE NA JIMMY IOVINE WA AFRICA -PART2
Makala yangu nayaendeleza, nakama jana ulikuwa unanifatilia vizuri karibu ili niweze kukujuza zaidi kwanini nasema Diamond na Sallam Sk nikama Dr. Dre na Jimmy Iovine wa Africa. Katika filamu fupi ama (Documentary) ya The Difiant Ones, Dr. Dre alikiri ... Read More »
December 01, 2017 0