Header

2018


January 17, 2018

Video Mpya: C-Sir Madini – Niambie

Baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu, muimbaji toka Mwanza, C-Sir Madini amerejea tena na ngoma mpya chini ya label mpya, Bambika Music. Wimbo unaitwa Niambie na umetayarishwa na Mr T Touch huku video ikiongozwa na Joowzey. https://www.youtube.com/watch?v=R-wrsyWVWAk&feature=youtu.be

January 17, 2018 0January 17, 2018

Rayvanny kupata Tuzo ya YouTube Tanzania

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka Tanzania, Raymond Shaban Mwakyusa a.k.a Rayvanny amepewa heshima ya tuzo na mtandao wa YouTube kwa kigezo cha idadi ya waliosubcribe na idadi kubwa ya wanaoitembelea channel yake ya YouTube kutazama kazi zake. Akizungumza na ... Read More »

January 17, 2018 0