Header

January 2018


January 28, 2018

Rekodi baadhi walizonazo wateule wa Tuzo za Grammy 60th

Yakiwayamebakimasaamachachekablayatukiolinalosubiriwakwahamukubwanamashabikiwaburudanidunianikote. TukiohilosiojinginebalinilautoajiwatuzozaGramy au kwakimombozikiitwa THE ANNUAL GRAMMY AWARDS ambazokwamwakahuuniza 60tangukuasisiwakwake. Wasaniikama Jay Z, Bruno Mars, watayarishajiwamuzikikamaakina Calvin Haris,waigizajinawengineonimiongonimwawatuwanaowaniatuzohizo. ilausilolijuakutokakwabaadhiyawateulenikuwawameshavunja Recordsmbalimbalinahiinikwamujibuwa GUINESS WORLD RECORDS. Kabla ya sherehe ya Grammy ya 60 ya mwaka huu, Hizi hapa ni baadhi ya rekodi ambazo baadhi ya wasanii ... Read More »

January 28, 2018 0


January 27, 2018

Engine autetea ukaribu wake na Wolper

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka Tanzania, Engine ameelezea  ukaribu wake na msanii wa Bongo Movie 'Jackline Wolper' baada ya tetesi zinazoendelea kwenye mitandao ya kijamii kuwa mahusiano yake na Wolper sio ya kimapenzi. Akizungumza na Dizzim Online Engine ... Read More »

January 27, 2018 0