Header

Mtoto wa Kanye West na Kim Kardashian Saint alazwa hospitali

Mtoto wa kiume wa Kim Kardashian na Kanye West, Saint West alilazwa wiki iliyopita baada ya kuugua ugonjwa wa pneumonia kwa mujibu wa taarifa ya TMZ.

Vyanzo vimedai kuwa mtoto huyo mwenye umri wa miaka 2 alilazwa katika hospitali ya LA siku ya Alhamis na wazazi wake walikuwa naye muda wote.

Saint aliruhusiwa kutoka hospitali siku ya Jumamosi. Yupo nyumbani sasa na anaendelea vizuri.

Comments

comments

You may also like ...