Header

Bruno Mars na Cardi B wajitokeza kwa kupodoa uzamani

Staa wa muziki kutoka Marekani, Bruno Mars ametoa video ya remix ya wimbo wake unokwenda kwa jina Finesse akiwa amemshirikisha rapa wa kike anayezungumzwa kwa kasi yake ya kupanda kimuziki, Cardi B.

Wimbo huyo wa Mars, Cardi amefanya vizuri kwa uwezo wake wa kuchana ikizingatiwa kuwa kwa mwaka  2017 amefanya vizuri zaidi kwa singo yake ya Bodak Yellow ambapo kwa sasa bado anazungumziwa zaidi kwa kuandika historia kwenye chati za Billboard kama rapa wa kwanza aliyetokea katika ngoma tatu katika chati ya Billboard Hot 100 akiwa katika chati ya juu ya ngoma 10 kwa wkaati mmoja.

Kwa mujibu wa hitoria ya Bruno Mars ni miongoni mwa wasanii ambao uandaa ngoma kuwa zinzofanya vizuri katika chatoi kubwa duniani na katika kazi hii mpya iliyosikika katika miondoko ya muziki wa Funky ya usasa zaidi upo uwezekanao mkubwa ngoma hiyo ya Finesse(Remix) kufanya vizuri zaidi na kuigia katika chati hiyo ya Billiboard na akaweza kuandika hitoria nyingine ya kuwa msanii wa kwanza kuingiza nyimbo nne kwa mara moja katika chati hizo.

Video ya wimbo huo imeongozwa an Bruno Mars mwenyewe kwakuwa anauzoefu na uwezo wa kfanya hivyo.

Comments

comments

You may also like ...