Header

Picha ya muonekano mpya wa Ruby yawatoa maneno wasioamini

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Ruby ameibua maneno ya maoni kutoka kwa wadau, mashabiki, na baadhi ya Mastaa juu ya picha iliyomuonesha kujazia sehemu kubwa ya umbile lake tofauti na ilivyokuwa awali.

Katika hali ya wengi kutoamini kuongezeka kwa ujazo wa umbile la Ruby, Dj maarufu na mdau mkongwe wa muziki na Burudani kwa ujumla kutoka Tanzania kwa jina la Dj Choka aliandika ujumbe wenye hisia za kuwa ana mashaka na kinachoonwa na macho yake.

Ruby alipost kwa manneo ya salamu za mwaka mpya na kugusia kuhusu mambo mapya.

Itazame Post yake hapa chini.

Happy new year na mambo mapya😛😘🏃🏾‍♀️🤣🤣🤣

A post shared by Official Ruby (@iamrubyafrica) on

Aliitumia picha  hiyo ya muonekano mpya wa Ruby na kuandika maneno haya ‘ Naomba kusema kama @iamrubyafrica yupo hivi kweli mimi naacha UMALAYA LIVE na NITAMUWOWA kabisaaaaaa🙈🙈 #HalafuOleWenuMUAMINI”

Bila shaka nawe kwa muonekanao huu mpya wa Ruby ubaweza kuwa na maoni yako ukilinganisha na alivyokuwa awali, Unahisi ni mazoezi ya viungo na mlo wa nana yake vinaweza kuwa vimechangia mabadiliko haya. FUNGUKA HAPO CHINI.

Comments

comments

You may also like ...