Header

Idris Sultan ageukia upande wa Wolper juu ya Mahusiano

Kulingana na habari kubwa zilizogonga vichwa vya habari kwa mwaka jana juu ya maisha ya kimahusiano yake Mrembo Jackline Wolper, na hili lingine lililofunga na kufungua mwaka mpya wa 2018 kuwa Jack yuko katika mahusiano mapya na mtu ambaye alitoa amelezo katika ukirasa wake wa Instagram kuwa anampenda sana.

Jack baada ya kumwaa sifa kede kede kuwa hayuko tena katika maisha ya kuteswa kimapenzi, mapema jana zikaanza kusambaa picha zilizoingia mtandaoni sambamba na taarifa za kuwa kuna kijana mdogo mdogo tu wa ambaye anajulikana kwa sanaa ya uimbaji kuitwa Sadiki Athanas’ a.k.a Engine anasemekana kuwa ndo yule anayeupumzisha Moto wa Jack na yuko katika taratibu za mwisho za kulipa mahari na kumchukua Wolper kama mke ili aishi naye.

Hiki ambacho mimeingia katika mtandao katika hali ya utani na kubeba ujumbe wenye maoni, kimepostiwa na Idris Sultan na katika kulimganisha idadi ya mahusiano ambayo Jack amepitia aliutumia mfano mdogo akitofautisha jumla na idadi ya wapenzi  Wolper kwa mwaka jana na mwaka huu na nyimbo alizoachia AliKiba kwa Mwaka Jana.

Comments

comments

You may also like ...