Header

Jokate Mwegelo aonesha shahuku ya kuingia kwenye mapenzi

Muigizaji, mwimbaji, mtangazaji na mjasiriamali kutoka Tanzania, Jokate Mwegelo ameonesha shahuku yake ya kuyaishi maisha ya ndoa katika ishara ya moja vitu anavyo vitamani kutimiza kwa mwaka wa huu wa 2018.

Kwa maneno yenye utayari wa kuishi katika maisha ya kupenda na kupendwa, Jokate alipost picha yenye kuonesha urembo wake akiwa kaambatanisha maneno ya kuwa sasa yuko tayari.

Aliandika “Vigezo na Masharti Kuzingatiwa. ❤️”

Oh 2018 bring me my hubby already 😏. I’m ready. ❤️ #Amen

A post shared by Jokate Mwegelo (@jokatemwegelo) on

Muda mfupi baadae Jokate aliandika ujumbe mwingine mrefu ambao unazungumzia uhusiano wa mtu kuwa namaisha bianafi na kuamua kuwa na mtu katika maisha ya kimahusiano bila kusahau kutoa maneno ya kutia moyo kwa kila mwenye nia ya kufikia ndoto kubwa za maisha.

“Okay now tuwe serious kidogo ukiacha kutafuta hubby kuwa na maisha yako binafsi na maendeleo yako wewe kama wewe ni muhimu zaidi. Ujumbe wangu kwenu kwa mwaka huu wa 2018. Ningependa pia kusikia yako kwenye comments❤️ . .
Ndugu zangu, sijidhanii nafsi yangu kwamba nimekwisha kupata tuzo hiyo; ila natenda neno moja tu; NIKIYASAHAU YALIYO NYUMA, NACHUCHUMILIA YALIYO MBELE YANGU;
Wafilipi 3:13

Hili likawe neno lako kwa Mwaka 2018, hakuna kitu chochote kizuri nyuma yako ukilinganisha na mema na mazuri yaliyo mbele yako. Haijalishi Mwaka 2017 ulikuwa mbaya kwako namna gani, jitie moyo kwamba 2018 utakuwa Mwaka mzuri kwako. Samehe waliokusaliti, waliokuumiza, waliokusema vibaya, kwa sababu wamekusaidia kuwa Imara zaidi na ndio maana kwa Neema za Aliye Juu umemaliza Mwaka ukiwa Imara.
Zingatia malengo yako na utimize ndoto zako. Asikwambie mtu kwamba haiwezekani, lolote linawezekana chini ya Jua. Unaweza, jiamini.  2018 ni Mwaka wa Mwanzo Mpya. NI WAKATI WA KUZIISHI NDOTO ZAKO NA SIO KUZIACHA KATIKA MAANDISHI. ZIFANYE ZIWE HALISI.
ASANTENI KWA SUPPORT NA UPENDO WENU,  NAWAPENDA PIA. KUMBUKA KUWAONESHA UPENDO FAMILIA YAKO. PIA JIANDAE KWA MAMBO MAKUBWA NA #KIDOTI2018.
HERI YA MWAKA MPYA 2018.

Okay now tuwe serious kidogo ukiacha kutafuta hubby kuwa na maisha yako binafsi na maendeleo yako wewe kama wewe ni muhimu zaidi. Ujumbe wangu kwenu kwa mwaka huu wa 2018. Ningependa pia kusikia yako kwenye comments❤️ . . Ndugu zangu, sijidhanii nafsi yangu kwamba nimekwisha kupata tuzo hiyo; ila natenda neno moja tu; NIKIYASAHAU YALIYO NYUMA, NACHUCHUMILIA YALIYO MBELE YANGU; Wafilipi 3:13 Hili likawe neno lako kwa Mwaka 2018, hakuna kitu chochote kizuri nyuma yako ukilinganisha na mema na mazuri yaliyo mbele yako. Haijalishi Mwaka 2017 ulikuwa mbaya kwako namna gani, jitie moyo kwamba 2018 utakuwa Mwaka mzuri kwako. Samehe waliokusaliti, waliokuumiza, waliokusema vibaya, kwa sababu wamekusaidia kuwa Imara zaidi na ndio maana kwa Neema za Aliye Juu umemaliza Mwaka ukiwa Imara. Zingatia malengo yako na utimize ndoto zako. Asikwambie mtu kwamba haiwezekani, lolote linawezekana chini ya Jua. Unaweza, jiamini.  2018 ni Mwaka wa Mwanzo Mpya. NI WAKATI WA KUZIISHI NDOTO ZAKO NA SIO KUZIACHA KATIKA MAANDISHI. ZIFANYE ZIWE HALISI. ASANTENI KWA SUPPORT NA UPENDO WENU,  NAWAPENDA PIA. KUMBUKA KUWAONESHA UPENDO FAMILIA YAKO. PIA JIANDAE KWA MAMBO MAKUBWA NA #KIDOTI2018. HERI YA MWAKA MPYA 2018. #KIDOTI cc @pastor_nick_shaboka 💕

A post shared by Jokate Mwegelo (@jokatemwegelo) on

 

Comments

comments

You may also like ...