Header

The Weeknd akatisha makubalino ya mkataba na kampuni ya mavazi ya H&M

Msanii na Staa wa muziki kutoka Kanada The Weeknd amekatiksha makataba na kampuni ya nguo ya Kiswidi baada ya tafsiri ya ubaguzi ya picha ya mtoto mwenye asili ya mtu mweusi kusambaa kwa kasi mtandaoni sambamba na maoni ya wengi kuitumia picha hiyo kulaani ubaguzi.

Maneno yaliyokuwa katika sehemu ya mbele ya nguo aliyovaa mtoto huyo, ‘COOLEST MONKEY IN THE JUNGLE’ yaliibua hisia tofauti huku kila aliyeguswa kusema alichoweka kwa nia ya kupiga hali ya ubaguzi ambapo The Weeknd aliweka ujumbe wa kujiondoa katika kataba alioweka na kmapuni hiyo ya nguo kwani naye alisononeshwa na kile kilichoanza kuzungumzwa juu ya usemi huo kwenye nguo  wa kampuni hiyo.

Hii ni post ya rapa Diddy ambayo imesimamia katika msimamo wa kukinzana na hali hiyo hiyo iliyotafsiriwa katika sura ya ubaguzi wa rangi.

Mastaa wengine walioguswa na tukio hilo ni T.I, Floyd Mayweather na wengine kibao ambapo pia Kampuni hiyo ya H&M aimeombaradhi juu ya kosa hilo la kibishara lilosababisha janga la kulaaniwa juu ya ubaguzi na kuahidi kuwa bidhaa hiyo imeondolewa na hakutakuwepo kwa biashara ya mavzi na namna hiyo kamwe.

Comments

comments

You may also like ...