Header

50 Cent atishia kumdunda Joe Budden baada ya kuiponda album ya Eminem

50 Cent ametangaza vita kwa Joe Budden. Ni baada ya rapper huyo aliyegeuka kuwa mtangazaji kuiponda album mpya ya Eminem, Revival. Akiweka picha ya Joe kwenye ukurasa wake wa Instagram, jenerali huyo wa G-Unit ameandika, “That was a bad idea. “Look you got a little ass whopping coming. It’s not a big deal, you will get over it.”

Kwenye podcast yake, Joe Budden na mwenzake Rory walidai kuwa album ya Eminem ina nyimbo za pop zaidi. “It seems way too pop-ish,” alisema Rory. “It seemed a little lazy that he just went out and grabbed the hottest people out.” Naye Mal akaongeza, “That tracklist does not make me wanna buy that album.” Budden alichombeza kwa kusema, “Em is a white pop star.”

Comments

comments

You may also like ...