Header

AKOTHEE ALIWEKA WAZI HADHARANI PENZI LAKE NA MANEJA WAKE NELLY OAKS.

Akpthee akiwa na mchumba wake wasasa ambaye pia ni maneja wake wa kimataifa wa muziki.

Msanii na mjasiriamali kutoka nchini Kenya maarufu kama Akothee ameamua kumwaga punje za mtama kwenye kuku wengi. Akothee ambaye maisha yake ya mahusiayano yamekuwa ya kileta contoverse, kwasasa ameameamua kuweka wazi kuwa hayupo single tena. Mara ya mwisho msanii huyu Akothee kuwa katika mahusiano ilikuwa mwaka wa 2016, ambapo alikuwa akitoka na mchumba wake mwenye asili ya kizungu. Lakini penzi lao halikudumu kwa mda mrefu kwani nguli huyu wa muziki wakizazi kipya Africa alipata hasara ya kupoteza ujauzito wa mchumba wake huyu mzungu. Hali ambayo ilisababisha kuvunjika kwa mahusiano yao na mara tu kupitia interview na kituo cha radio Maisha cha nchini Kenya Akothee aliweka wazi kuwa yupo single mwaka huohuo wa 2016.

Hadi mwezi Disemba mwaka jana 2017, Akothee alionyesha kuwa yupo single mpaka mapema mwezi huohuo wa Disemba alipokuwa kwenye tour yake Ulaya ndipo alipooanza kuonyesha dalili zakuwa wapenzi na meneja wake wa muziki mkenya lakini mwenye makazi yake nchini Uswizi maarufu kama Nelly Oaks. Lakini asubuhi hii kupitia vifurushi vyake vya mitandao ya kijamii, staa huyu wa muziki ameamua kuweka wazi mahusiano yake na meneja wake Nelly Oaks. Nikinukuu maneno aliyoyaandika kupitia ukurasa wake wa Facebook May the God of singles do it for you like He did for me , finding a real friend is pretty hard this days 🔥 niggas ain’t loyal I love you @nellyoaks my best friend , you are my world good MorningHii inamanisha staa huyu kwasasa anafurahia kuwa kwenye mahusiano tena, na tayari kwahivi sasa anatakribani watoto watano na kila mtoto ana babake. Akothee ashawahi kusema kuwa haogopi kuzaa, ila huwa anaangalia anazaa nanani.

 

 

Comments

comments

You may also like ...