Header

Barnaba na Aslay wamfunda maisha ya NdoaTunda

Wakali wawili kutoka katika uwanja wa muziki wa Bongo Fleva, Barnaba na Aslay wameshirikiana ambapo kwa uongozaji wa Director Joowzey katika video ya wimbo wao mpya unaokwenda kwa jina ‘Ngoma’ ujumbe umemuendea mrembo maarufu Tunda ikiwa ni njia rahisi ya kufikisha ujumbe husika wa wimbo.

Video ikiwa ni yenye kubeba muonekano wa maisha ya shamba katika kiwango cha kati, Barnaba ambaye ni rafiki wa karibu wa Aslay wanasikika na kuonekana kumelekeza na kumshauri ndugu wa kike wa Aslay ‘Maria’ kuitunza ndoa ambaye katika uhusika nafasi hiyo umechezwa na Tunda.

Hata hivyo, kati ya wasanii walioshikwa mkono na Barnaba, Msanii Mulla katika video ya wimbo huu ameonekana katika nafasi ya Conductor/Muelekezi wa basi la usafiri aliyeonekana akipokea malipo ya nauli kutoka kwa mme wa Maria ‘Tunda’.

Comments

comments

You may also like ...