Header

Zamaradi Mketema aizungumzia mipango yake ya kujihusisha na Filamu

Mjasiriamali na mtangazaji maarufu wa Runinga Tanzania, Zamaradi Mketema ameweka wazi sababu zilizomficha katika uso wa wengi waliotegemea kumuona nje ya utangazaji kama mwekezaji akijihusisha na uandaaji katika kiwanda cha filamu.

Kutokana na majukumu yanayomsukuma katika utendaji wa mausuala mengine ya kukuza uchumia wake, Zamaradi ameiambia Dizzim Online kuwa mipango yake ya kujihusisha na filamu iko pale pale ingawa bado analifanyika kazi wazo lake la kuwekeza Zaidi katika kuwasaidia watoto na mambo mengine ya kiabiashara yanayouchukua Zaidi muda wake.

MSIKILIZE KWA KINA KATIKA MAHOJIANO.

Comments

comments

You may also like ...