Header

Mtoto ‘Gold’ wa Navy Kenzo adaka Dili la Pili

Mtoto wa kiume wa wapenzi na mastaa wa muziki kutoka Tanzania, ‘Gold’ wanaounda kundi la Navy Kenzo, Nahreel na Aika, ameonekana kuwa upo uwezekano mkubwa amepata dili lingine la pili ambapo kwa sasa ni ubalozi wa ‘Kids City Shopping’ Tanzania.

Kupitia ukurasa rasmi wa Gold, ilipostiwa video fupi inayoomuonesha akiwa katika mazingira ya jambo kufanyika na kuzungukwa na watu wa karibu ambao walihisiwa kuwa ni wahusika wa dili hilo huku Aika na Nahreel wakiwa katika eneo hilo.

shooting for my next project

A post shared by Gold official page (@gold_navykenzo) on

Kwenye uambatanisho wa Video hiyo  yaliandikwa maneno “shooting for my next project” Ambapo imebaki wazi kuwa kwa sasa katika hili ni mfuatano wa dili tu kutokana na kuwa Gold ni mtoto mwenye jina kwani ni mzaliwa wa watu maarufu Tanzania katika tasnia ya muziki.

Comments

comments

You may also like ...