Header

AliKiba awatonesha kidonda mashabiki wa Elizabeth Michael ‘Lulu’

Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘AliKiba’ amewatonesha kidonda wote waliosikitishwa na adhabu ya kifungo cha miaka miwili Jela anayoendelea kutumikia muigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwa kosa la kuua bila kukusudia.

Hukumu ya adhabu hiyo kwa Lulu ilitoka tarehe 13 Novemba mwaka jana ambapo leo AliKiba ametonesha kidonda kwa kupost picha ya Lulu isiyo na maelezo bali iliipostiwa sambamba na kidude chenye ishara ya uzuni, picha iliyourudisha majonzi kwa mashabiki wake na wote waliompenda Lulu.

😢 #KingKiba

A post shared by alikiba (@officialalikiba) on

Comments

comments

You may also like ...