Header

Sam wa Ukweli atoa majibu mawili juu ya kushiriki ushirikina (Video)

Staa wa  Bongo Fleva na mkali wa ngoma ‘Sina Raha’ na ‘Hata kwetu wapo’ Salim Mohamed a.k.a Sam wa Ukweli amedodosa maneno kuelekea kauli aliyowahi kuitoa juu ya ubaya na uzuri wa mtu kushiriki na kuamini ushirikina katika kutengeneza njia za mafanikio.

Akizungumza na Dizzim Online, Sam amejitahidi kuweka kauli yake sawa kwa lengo la kuwaelewesha wote waliomuelewa vibaya tofauti na maana halisi ya maelelzo yake juu ya hasara na faida mtu kuishi maisha ya ushirikina.

MSIKILIZE KATIKA MAHOJIANO NA DIZZIM ONLINE.

Comments

comments

You may also like ...