Header

Ray Kigosi na Chuchu Hans waruka siku kwa mtoto wao ‘Jaden’

Vincent Kigosi ‘Ray’ ni muigizaji mwenye mashabiki wengi katika tasnia ya Bongo Movie na kwa sasa tunaweza kukiri kuwa ana machango mkubwa sana katika tasnia ya filamu Tanzania, mchango unaoweza kuwapa nguvu wenye nia njema na tansia hii ili ifike mbali zaidi.

Jaden

Bila shaka Ray imekuwa ni furaha kwake kwa kupata mpenzi anayejishughulisha na masuala haya ya Uigizaji yaani Chuchu Hans kikubwa zaidi kwa wapenzi hawa furaha yao ya pamoja leo  kwakuwa wameitumia siku kumtakia maisha marefu mtoto Jaden ambaye alizaliwa mwezi Januari mwaka jana lakini katika siku hii ya pekee kwa mwane huyu jambo tofauti linaibuka kwani Jaden taarifa za kuzaliwa kwake mwaka jana zilianza kusambaa taarifa zao kupata mtoto tarehe 18 Januari na Ray na Chuchu amemtakia maisha marefu Mwezi Januari tarehe 21.

Sasa swali la kujiuliza juu ya hili kwa Ray na Chuchu Hans ni kuwa walikuwa Busy sana kutoamtakia heri ya siku ya kuzaliwa mtoto wao au ipo sababu nyingine iliyofanya waitumie tarehe 21 Januari sababu ambayo itawaridhisha waliowengi ili isionekane kuwa walipuuzia tarehe ya siku husika ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa motto wao Jaden.

Comments

comments

You may also like ...