Header

January 2018January 12, 2018

Aslay aenda pekee yake kwa Snura

Msanii wa muziki wa kizazi kipya na mrembo mwenye majanga yake Snura Mushi ‘Snura’ ameitumia siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake kwa kuachia kolabo yake na mkali wa Bongo Fleva Aslay inayokwenda kwa jina la ‘Moyo Nichae’. Kolabo ya wimbo ... Read More »

January 12, 2018 0