Header

Beyonce aweka Rekodi mpya kwenye Mtandao wa Spotify

Mrembo na Staa wa muziki mwenye bahati ya kuumiliki usingizi wa Rapa JAY-Z, ‘Beyonce’ amezidi kutamba na kujinitanua vilivyo katika kiti chake cha umalikia wa muziki Dunia kwa mwaka huu wa 2018 kupitia Album yake ya ‘4’ iliyotoka Juni 24,mwaka  2011.

Kwa mujibu wa mtandao wa MTV UK zimetoka taarifa kuwa Album hiyo ya Beyonce imefikisha jumla ya Streams Bilioni 1+ kwenye mtandao wa mauzi ya nyimbo wa Spotify.

Hata hivyo rekodi hii ya Beyonce, amekuwa msanii wa Kwanza katika historia ya mtandao huo kwa album zake 3 kufikisha idadi hiyo ya Streams, zikiwemo ‘I Am… Sasha Fierce’ ya mwaka 2008 na ‘BEYONCÉ’ ya mwaka 2013.

Comments

comments

You may also like ...