Header

Jux kufanya kila anachoweza ilimradi tu Vanessa Mdee atabasamu

Staa wa muziki wa RnB kutoka Tanzania, Juma Mussa ‘Jux’ amesisitiza juu alichonacho katika nafsi yake ya kuwa atahakikisha anamfanya mpenzi wake Vanessa Mdee anatabasamu.

Kupitia ukurasa wa Instagram, Jux amepost picha ya Vanessa akiwa ni mwenye tabasamu ndani ya Swimming Pool na kuandika maneno matamu ya kumhakikishia furaha kipindi ambacho wako visiwani Zanzibar kwa mapumziko ambayo waliyapatia maudhui ya kuelekea siku ya wapendanao ‘VALENTINES DAY’.

I will do anything to make you smile #prevalentines

A post shared by Juma_jux (@juma_jux) on

Hata hivyo kile kilichokuwa nikiombwa na idadai kubwa ya mashabiki wa muziki wao na waliopenda Couple yao hakika kwa sasa ni furaha yao pia kwani upendo umezidi kushamiri kati yao kila leo.

Comments

comments

You may also like ...