Header

Bahati aisikia Sauti na Mtoto wake wa kwanza kwa Mara ya Kwanza

Msanii wa muziki wa Injili kutoka nchini Kenya, Kevin Kioko ‘Bahati’ leo amempokea na kumkaribisha mtoto wake wa kwanza wa kike kutoka kwa mpenzi wake Diana Murua aliyejifungua asubuhi ya leo katika Hospitali ya Karen iliyoko jijini Nairobi nchini humo.

Bahati na Diana wamekuwa katika mahusiano kwa muda usiopungua mwaka na nusu sasa na furaha yao imeongezea kwakuwa wapenzi hawa walihitaji kuoneshana upendo ambao umeambana na furaha wao kupata mtoto siku ya wapendanao ‘Valentine’s Day’.

Baada ya kuweka ujumbe wa heri ya kupata mtoto wake wa kwanza aliyepewa jina la‘Heaven Bahati’, kupita Ukursa wa instagram, Bahati  tena aliweka video fupi ya mtoto huyo akitoa kilio na kuandika kuwa sauti ya kilio cha mtoto anayoitoa imekuwa ni kwa mara ya kwanza Bahati akisikia sauti hiyo.

 

 

 

 

Comments

comments

You may also like ...