Header

Fantasia Barrino apata Msiba wa Mpwa wake aliyepigwa Risasi

Staa wa muziki wa RnB kutoka Marekani, Fantasia Monique Taylor ‘Fantasia Barrino’ ni masikitoko yake makubwa kunazia siku ya jana kwa msimba wa kumpoteza Mpwa wake Tyquan ‘Ty’ aliyeshambuliwa na wanaodaiwa kuwa ni waharifu.

Kwa mujibu wa vyanzo vya utekelezaji wa sheria vya eneo la tukio, mpwa huyo wa kiume mwenye umri wa miaka 18 alifarikiwa kutokana na majeraha mengi aliyoyapata siku Jumatatu asubuhi baada ya kupigwa risasi katika eneo la Greensboro, Karolina ya Kaskazini nchini Marekani.

Wafanyabiashara katika eneo hilo walijaribu kuokoa maisha kwa Ty, na alipelekwa haraka katika Hospitali ya Musa Cone lakini alifariki muda mfupi baadaye.

Maskari wanao wanafatilia kisheria hatua za tukio hilo wamemkamata mtuhumiwa mmoja mwenye umri wa miaka 21, ambaye ameshtakiwa kwa kosa mauaji ya shahada ya kwanza(First Degree Murder).

 

Post ya Mwanadada Fantasia

Comments

comments

You may also like ...