Header

Mtoto wa Kelly Rowland ashindwa kuzuia hisia zake.

Mtoto wa kiume wa msanii kutoka Marekani, Kelendria Trene Rowland ‘Kelly Rowland’, Titan Jewell Weatherspoon ameshindwa kuzuia hisia zake na kwa jinsi anavyoupenda  wimbo wa  Love you Die wa msanii Patoranking kutoka Nigeria aliomshirikisha  Diamond Platnumz.

Kupitia mtandao wa SnapChat Mtoto huyo alionekna akiwa na mama yake na kilichokuwa kikiwapa raha kwa muda huo ni wimbo ‘Love You Die’ na kwa hili imeonekana wazi kuwa matunda ya muziki wa Tanzania na Afrika kwa ujumla yanazidi kuonekana kutokana na bidii wanazoweka katika muziki wao.

‘Love you die’ imefikisha watazamaji zaidi ya milion 5 kwenye mtandao wa Youtube

Comments

comments

You may also like ...