Header

Papii Kocha afungua jamvi la muziki wake, Aanza na ‘Waambie’

Msanii wa muziki wa Dansi kutoka familia ya Nguza Viking, Johnson NguzaPapii Kocha’ ameachia rasmi kazi yake ya kwanza tangu alipoachiwa huru kutoka katika maisha ya jela aliyotumikia kwa miaka 14.

Kazi hiyo ambayo imetoka sambamba na video inakwenda kwa jina ‘Waambie’ ikiwa imeandaliwa na Mtayarishaji ‘Emma The Boy’ na video kuongozwa na Director Destro.

Wazo la wimbo huo limezingatia shukrani kwenda kwa mwenyezi Mungu kwa makuu aliyotenda mpaka yeye na Baba yake mzazi ‘Nguza Viking’ kuachia huru kwa msamaha wa Rais John Pombe Magufuli  mbali na kuwa walikuwa wamehukumiwa kifungo cha maisha.

ITAZAME VIDEO YA WIMBO HUO MPYA.

Comments

comments

You may also like ...