Header

Diamond avunja ukimya kwa Watoto wake ‘Nillan na Daylan’

Mmiliki wa Lebo ya WCB Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumz, ameendelea kuwafurahisha mashabiki zake kwa siku ya leo baada ya kuweka picha kwenye ukurasa wake wa Instagram ikiwaonesha watoto wake wawili wa kiume ambao ni Nillan na Daylan huku akiwasihi juu ya wanawake wakuoa pindi watakapo kuwa wakubwa

 

kupitia ukurasa wake wa Instagram Balozi huyo wa kinywaji cha Beraile aliambatanisha na ujumbe uliokuwa ukimaanisha atasikitishwa sana endapo watoto wake hao watakapo kuja kuoa wanawake wabaya wakati wana vyanzo vingi vya pesa watakavyo achiwa na baba yao huyo.

Diamond kwasasa amekuwa akifanya watangazo juu ya Wasafi TV na Wasafi Radio ambapo inaonekana wazi siku si nyingi ofisi hizo zitaanza kufanya kazi.

Comments

comments

You may also like ...