Header

Bill Nass awajibu waliodhani ‘Tagi Ubavu’ ilishootiwa Tanzania pekee

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka Tanzania, Bill Nass amezitaja location za video ya wimbo wake mpya iliyoongozwa na Director Travellah ‘Tagi Ubavu’ kwa kuzitofautisha mazingira ya vipande vya video vilivyoshootiwa Tanzania na nchini Afrika Kusini.

Akipiga Stori na Dizzim Online, Bill amesema kuwa walio wengi walidhani video nzima ya wimbo huo imeshootishwa nchini Tanzania hata kutofautisha mazingira ya video hiyo iliyoshootiwa jijini Dar es Salaam na mjini Durban nchini Afrika Kusini.

“Ngom’a yangu ya Tagi Ubavu nbimeshoot South Africa na Bongo, Pale video inapooanza ndo scenes za SA na pale kwenye parking, tumeshoot Mjini Durban na pale naonekana nikiimba nyumba kuna Backgroung ya njano. zilizobaki kwa asilimia kubwa Sehemu zilizobaki ni Bongo” Amesema Bill Nass.

Comments

comments

You may also like ...