Header

February 2018February 24, 2018

Dayna aangukia tena kwenye mikono ya Daxx Cruz

Mwimbaji kutoka Tanzania na Staa wa ngoma ‘Angejua’, Mwanaisha Said Nyange ‘Dayna Nyange’ amemtumia Model maarufu aliyewahi kutajwa kuwa naye kimahusiano ‘Daxx Cruz. Kupitia video ya wimbo wake mpya ‘Sale Sale’ iliyoongozwa na Director Ivan, Dayna Nyange ameonekana akifanya kwa ... Read More »

February 24, 2018 0


February 23, 2018

DStv mambo ni Motoo

Wikiendi hii kwenye michuano ya Premier League inayorushwa na DStv mambo ni motooo!! Manchester United ambao kwasasa wanashika nafasi ya 2 kwenye msimamo wa EPL wakiwa na pointi 56 wanawakaribisha Chelsea ambao wapo nafasi ya 4 wakiwa na utofauti wa ... Read More »

February 23, 2018 0