Header

Burudani ya Soka Wikiendi hii ndani ya DStv

DStv inakuletea ratiba za Supersport Ulimwengu wa Mabingwa wiki hii, ambapo tutaanza na Alhamisi kwenye Premier League, Arsenal inawakaribisha Manchester City, Emirates Stadium. Mechi hii imewakalia vibaya sana Arsenal ambao kwasasa wapo nafasi ya 6 kwenye msimamo wa Ligi huku wapinzani wao Man City wanaendelea kukamata nafasi ya kwanza tangu msimu huu ulipoanza, Je Arsenal watatoboa?

Usikose mechi hii leo LIVE saa 4 usiku kupitia Supersport 3 inayopatikana kupitia DStv pekee!

Ijumaa tutapumzika, ila Jumamosi Premier League niaendelea na tuna mechi kubwa 4:

  • Burnely itacheza dhidi ya Everton, saa 9 Alasiri ndani ya Superport 3
  • Tottenham hotspur itacheza dhidi ya Huddersfield kwenye Uwanja wa Wembley saa 12 jioni na kurushwa na Supersport 3
  • Liverpool inawakaribisha Newcastle United saa 2 usiku na mechi kuruka LIVE kwenye Supersport 3.
  • Na Leicester City inacheza dhidi ya AFC Bournemouth LIVE kutokea Uwanja wa King Power jijini London na kurushwa na supersport 5 saa 12 jioni.

Jumapili: Arsenal inarudi tena uwanjani, ambapo Brighton and Hove Albion inawakaribisha Amex stadium, mechi itachezwa saa 10 Alasiri kupitia Supersport 3.  Mechi nyingine kubwa inayosubiriwa na wapenda soka ulimwenguni ni hii kati ya Manchester City dhidi ya Chelsea, Mechi itaanza saa 1 usiku na kurushwa LIVE na Supersport 3.

Hakikisha haupitwi na Uhondo huu wa Soka, LIpia kifurushi chako cha DStv Compact kwa sh. 69,000 tu, kuweza kushudia Premier League LIVE kwenye DStv pekee!

Je hujajiunga na DStv?  wahi sasa Ofa ya THE PUNGUZO, burudika na miezi miwili bure kwa kununua Dekoda pamoja na Dish kwa sh.79, 000 tu!

Kujiunga piga 0659 070707 na ukitaka kujihudumia piga *150*46# kisha fuata maelekezo. THE PUNGUZO na DStv!!

Comments

comments

You may also like ...