Header

Eric Omondi aomba radhi juu ya kusambaa kwa video yake ya Utupu

Kufuatia kusambambaa kwa kipande cha video kinachomuonesha Mchekeshaji Eric Omondi akiwa mtupu katika eneo la mto ambayo walionekana kuchezea na kuongelea kwenye maji ya mto huo na imemlazimu Eric kuomba radhi kwa wote waliokerwa wa tukio hilo linaloonekana katika video.

Kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram, Eric aliweka picha yake akiwa katika vazi la Suti, mwenye sura ya masikitiko na uzuni kiasha kuambatanisha maneno ya kuwaomba radhi wote waliokerwa na kuchukizwa na kitendo cha yeye kutokea katika video akiwa mtupu.

โ€œI have been a comedian all my life… Many are the times that I have errored… Today was one of those days. I have offended so many. I did not in any way intend to offend anyone…I AM DEEPLY SORRY FOR THAT… ๐Ÿ™‡โ€โ™‚๏ธโ€ Aliandika Eric Omondi.

Hta hivyo kwa Eric Omondi kutokea katika video na picha za husu utupu sio mara yake ya kwanza na hauwahi kujitokeza kuomba msamaha lakini kwa video hiyo ni wazi naye hakupendezwa na kukiochoonekana na ndo maana akachukua jukumu la kuwataka radhi mashabiki wa kazi zake na wote ambao hawakupendezwa.

Comments

comments

You may also like ...