Header

Yvonne Chaka Chaka arudisha majibu juu ya kumpenda AliKiba

Mwishoni mwa mwaka 2016 ilithibitika kuwa Staa wa muziki kutoka Tanzania, AliKiba amefanya kolabo ya wimbo na mwimbaji mkongwe kutoka Afrika Kusini, ‘Yvonne Chaka Chaka’ na baadae ikasikika kazi ambayo haikuwekwa wazi kuwa ni kazi rasmi ya kolabo yao ambayo sauti zao zilisikika.

Ikaaminika kuwa wawili hao ni marafiki ambao wameunganishwa na vipaji vyao kupitia muziki siku ya jana kupitia ukurasa wake wa Instagram, Yvonne Chaka Chaka alipost picha ya karatasi yenye ujumbe wa upendo kutoka kwa AliKiba kama mtoto kwenda kwa mama ambapo Yvonne Chaka Chaka’ alijibu ujumbe huo.

“AliKiba…I love you mom…Chaka Chaka”. Yvonne Chaka Chaka alijibu kwa kurudisha maneno ya upendo sambamba kwenye picha hiyo kwa majibu ya kuandika “I love you back my son.

I love you back my son.

A post shared by Yvonne Chaka Chaka (@yvonne_chakachaka) on

Comments

comments

You may also like ...