Header

Uhondo wa EPL ndani ya DStv

Jumatatu ya leo Premier League inaendelea kwenye DStv, Ambapo Crystal Palace wanaikaribisha Manchester United kwenye uwanja wa Selhurst Park jijini London. Licha ya kuwa wenyeji katika mechi hii ya leo, Crystal palace watakua na mchezo mgumu kutokana na historia nzuri waliyonayo Manchester United dhidi ya Cristal Palace ndani ya #EPL

Je Man United wataendeleza rekodi yao dhidi ya Crystal palace leo usiku?

Lipia mapema kifurushi chako cha DStv Compact 69,000/= tu, kuhakikisha hauikosi mechi hii itakayochezwa kuanzia saa 5 usiku kupitia Supersport 3!

Je hujajiunga na DStv?  wahi sasa Ofa ya THE PUNGUZO, burudika na miezi miwili bure kwa kununua Dekoda pamoja na Dish kwa sh.79, 000 tu!

DStv Kujiunga piga 0659 070707, na ukitaka kujihudumia piga *150*46# kisha fuata maelekezo. THE PUNGUZO na DStv!!

 

Comments

comments

You may also like ...