Header

Uhondo wa DStv Wiki hii

Wahenga walisema utamu wa ngoma uingie ucheze, sasa kama unataka utamu wa soka basi DStv ndio mahali pake!

Jumatano hii wakali wa soka la Hispania wazee chenga tawala na magoli tunafunga, wakali soka utamu kunoga Barcelona wanaingia Dimbani na vijana wa Darajani Chelsea, Je Chelsea atachomoa, ama atalala doro?   Mimi na wewe hatujui ila tutashudia wenyewe bila ubishi nani mbabe kati ya hawa wawili siku ya jumatano kuanzia saa nne na nusu usiku kwenye Supersport 10 ya kifurushi Bomba kw ash.19, 000 tu!!!

Ukiwa na DStv unapata mechi kama hizi LIVE na nyingi pamoja na uchambuzi wa kina kutoka kwa wakali wa Soka dunia bila kusahau fununu zote zinazoendelea kwenye ulimwengu wa soka, yani kitu ni HD, Full Vyenga Bila Chenga mwanzo mwisho… unasubiri nini sasa? Jiunge na DStv leo ufaidi utamu wa soka la Ligi ya Mabingwa UEFA kwa kupiga namba 0659 070707 na ukitaka kujihudumia piga *150*46# kisha fuata maelekezo.

THE PUNGUZO na DStv!!

Comments

comments

You may also like ...