Header

Willy Paul azidi kumchungulia Wizkid

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Kenya, Wilson Abubakar Radido ‘Willy Paul’ ameanza kunyemelea kitu kutoka kwa Mkali wa muziki kutoka Nchini Nigeria, Ayodeji Ibrahim Balogun ‘Wizkid’.

Hili limeonekana mara tu baada ya Staa huyo wa ngoma ya ‘Jigi Jigi’ kuweka picha yake kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuweka maneno ya kiashiria cha kuwa pia naye unaweza kumtambua kwa a.k.a nyingine na kubwa ya Wizkid ‘StarBoy’.

“Starboy!! Willy paul…. willy” Aliandika katika picha ya Post yake.

Hata hivi wiki moja na siku kadhaa zilizopita, Willy Paul alitembelea kituo chetu nakufanya mhojiano ambapo akatikakubainisha Sataa wa muziki Duniani ambao yeye anawakubali miongoni mwao alimtaja Wizkid.
Tazama Mahojiano kati ya Willy Paul na Dizzim Online.

Comments

comments

You may also like ...