Header

Stan Bakora ampongeza Diamond Platnumz na kutaja thamani ya Sauti yake katika Wimbo wowote

Muigizaji na mchekeshaji kutoka Tanzania, Stanley Yusuph ‘Stan Bakora’ ametamani kolabo na Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz alipokuwa akizungumzia mafanikio na hatua ya juu aliyofikia Mwimbaji huyo.

Stan alimimina sifa na baadhi ya sababu zinazomfanya Diamond Platnumz kufanikiwa kwa kiasi kikubwa katika muziki wake kupitia ukurasa wake wa Instagram, ambapo alithamanisha ukubwa wa Diamond katika muziki kuwa hata kama atakohoa ina ikathaminika kama kolabo itakayofanya vizuri katika soko la muziki.

Stani aliandika:

@stanbakora_ “Nlishawah Kusema ww @diamondplatnumz Ni Mfano Wa Kuigwa Kabisa,Kwanza Umetufanya Vijana Wengi Tuamini Kujituma Ndio Kila Kitu Maana Mbali Ya Ww Kufanikiwa Ila Bado Uchoki Kujituma Pia Ujawah Kutukatisha Tamaa Vijana Wenzio,Nadhani Hata Moyo wako Mzuri Ndio Unakufanya ww Kufika Mbali zaidi Maana Leo Kina @1omarion @wizkidayo @davidoofficial Na Wengne Weng Unakaa Na Kuwapata Pindi Unapowahitaj Kma Vile Mm Nikitaka Kuwapata Kina Dullah ,Kingwendu ,Bambo N.k…Yan Natamani Hata Siku Nifanye Nyimbo Nikushirikishe Maana Najua Lzma Niwe Wa Kimataifa,Tena Sitaki Nkuchoshe Labla Kwnye chorus uweke Maneno Meng,Nataka Ukohoe Tu Hlf Mm Nitaandika Stan Bakora Ft @diamondplatnumz Nkiulizwa Diamond kaimba wap Nawaambia Huyo Aliekohoa Hapo Najua Kwny Mziki Ndio Nishatusua Hapo👌🏻….HONGERA SANA BRO KWA KUIPELEKA TANZANIA 🇹🇿LEVEL NYINGINE👏🏻👏🏻”.

Nlishawah Kusema ww @diamondplatnumz Ni Mfano Wa Kuigwa Kabisa,Kwanza Umetufanya Vijana Wengi Tuamini Kujituma Ndio Kila Kitu Maana Mbali Ya Ww Kufanikiwa Ila Bado Uchoki Kujituma Pia Ujawah Kutukatisha Tamaa Vijana Wenzio,Nadhani Hata Moyo wako Mzuri Ndio Unakufanya ww Kufika Mbali zaidi Maana Leo Kina @1omarion @wizkidayo @davidoofficial Na Wengne Weng Unakaa Na Kuwapata Pindi Unapowahitaj Kma Vile Mm Nikitaka Kuwapata Kina Dullah ,Kingwendu ,Bambo N.k…Yan Natamani Hata Siku Nifanye Nyimbo Nikushirikishe Maana Najua Lzma Niwe Wa Kimataifa,Tena Sitaki Nkuchoshe Labla Kwnye chorus uweke Maneno Meng,Nataka Ukohoe Tu Hlf Mm Nitaandika Stan Bakora Ft @diamondplatnumz Nkiulizwa Diamond kaimba wap Nawaambia Huyo Aliekohoa Hapo Najua Kwny Mziki Ndio Nishatusua Hapo👌🏻….HONGERA SANA BRO KWA KUIPELEKA TANZANIA 🇹🇿LEVEL NYINGINE👏🏻👏🏻

A post shared by Stanley Yusuph (@stanbakora_) on

Hata hivyo imeonekana kuwa Stan Bakora ameandika ujumbe huo sambamba na kipande cha video cha wimbo mpya wa Diamond Platnumz kwa jina ‘African Beauty uliomshirikisha Staa kutoka Marekani Omarion ulio wa wimbo uliotoka tu mara baada ya mafanikio ya uzinduzi mkubwa wa Album mpya ya Diamond Platnum ‘A Boy From Tandale’ uliofanyika nchini Kenya.

Comments

comments

You may also like ...