Header

Nisha na Brown wapeperusha upendo wazi wazi

Staa wa Filamu kutoka Tanzania, Nisha Bebe ameonesha dalili za kuianza safari kwa mashua ya huba na kijana mwanamazoezi na mwanamitindo kutoka Tanzania, Brown.

Kupitia kurasa za Instagram za wote wawili ziliaza kulindima picha na video zenye jumbe za wazi na zenye mbawa za upendo kati hao hata Nisha kuonesha kuwa kwa sasa ni mwenye furaha zaidi baada ya kukaa kwa kipindi akiwa Single.

naogopa B 😭 #BACHELA

A post shared by @ nishabebee on

Mtoto mzuri unakuaje Bachela…. U gotta ah Soldier by your side now.

A post shared by L i f e s t y l e (@official_brown_) on

I got ur back Beib.

A post shared by L i f e s t y l e (@official_brown_) on

Kikubwa ambacho kimeonekana kuwa sambamba na jumbe zao ni alama ya kiashiria na utambulisho wa neno #Bachelor hali ambayo imewafanya baadhi wahisi kuwa sio bure bali lipo jambo lililosimama kwa miguu miwili nyuma ya neno hilo.

Nisha ni mwenye historia ya kimahaba na msanii wa muziki wa Bongo Fleva ‘Barakah The Prince’ na Nay wa Mitego ambapo Brown alishaishi katika mhusiano yaliyodumu kwa muda kiezi kadhaa na muigizaji kutoka Bongo Movie, Jackline Wolper.

Comments

comments

You may also like ...