Header

Kylie Jenner awafurahisha mashabiki zake kwa hili.

Mwanamitindo na Mjasiliamali kutoka nchini Marekani Kylie Jenner,  amewafurahisha mashabiki zake baada ya kuweka picha inayojulikana kama ‘selfie’ yeye pamoja na mtoto wake kwenye ukurasa wake wa Instagram wenye followers zaidi ya milioni 100.

Kylie Jenner mwenye umri wa miaka 20 anaetokea kwenye familiya maarufu Duniani ya Kardashian siku ya jana ameweka picha akiwa na mwanawe huku akiambatanisha na ujumbe uliosomeka ‘Stormiiiiiii’ ambalo ni jina la mtoto wake huyo wa kike.

stormiiiiiiiii🖤

A post shared by Kylie (@kyliejenner) on

Tarehe 1 February Kylie na mpenzi wake Travis Sccot walipata mtoto wao wa kwanza aliyepewa jina la Stormi Webster ambae ameshatimiza mwezi 1 na siku kadhaa.

 

 

Comments

comments

You may also like ...