Header

Wizkid na Kundi Lake la Starboy Waitambulisha kazi Yao ya Kwanza

Wizkid na kundi lake la Starboy wameachia video inayokwenda kwa jina la “soco” na  imeongozwa na Director Clearance Peters.
Member wanaunda kundi hillo la Starboy ni Teri,Ceeza Milli,Spotless na Wizkid mwenyewe
Katika video hiyo kuna staili mbalimbali za kucheza zilizotumika na Wizkid pia amaonyesha uwezo wake wa kucheza staili ya Shakushaku staili maarufu sana kwa sasa Afrika.
Socco ni nyimbo iliyoko katika album inayotarajiwa kutoka kwa kundi hilo la Star boy inayokwenda kwa jina la Made in Lagos.

Comments

comments

You may also like ...